Start Reading

Jivutie Upako

Ratings:
69 pages48 minutes

Summary

Upako ni funguo kuu inayohitajika kufungua mlango wa kufanikiwa na kastawi katika huduma. Watu wengi wamejaribu kufanya kazi ya Mungu kwa malengo mazuri bila kufika mbali kwa sababu walishindwa kugundua kwamba si "kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa roho yangu (upako), asema BWANA wa majeshi" [Zekaria 4:6]. Hiki Kitabu cha kipekee "Kupata Upako" kilichoandikwa na Askofu Dag Heward-Mills kitakufundisha nini maana ya kupata upako na jinsi unavyoweza kutekeleza hivyo kimatendo! Ruhusu uchu wa upako wa Mungu usisimuke ndani yako kupitia kurasa za kitabu hiki!

Read on the Scribd mobile app

Download the free Scribd mobile app to read anytime, anywhere.