Sie sind auf Seite 1von 1

OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI) AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI

YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14.

A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA IFUATAVYO:i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928 ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416 iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677 Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za vyuo vyaualimu Tanzania Bara. B: Kila Mwalimu ( Ajirampya) atatakiwakuzingatiayafuatayo:1. Kuripoti tarehe01/04/2014kwenyeofisizaWakurugenziwaHalmashaurikwaajili yakupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi. 2. Mwalimu atatakiwa kuwa na vyeti vyake halisi vyachuonaSekondari 3. WalimuambaoniwaajiriwawaSerikaliwaliokuwawanajiendelezakieli muwanatakiwakurudikwawaajiriwaoilikuendeleanakazi 4. Fedhazakujikimuzasikusaba (7) nanaulikwawalimuwapyazimetumwakatikaHalmashauriwalikopang wawalimu. Hivyo, kilammojaaripotikatikaHalmashaurialiyopangwa 5. Mwalimuambayehataripotiifikapo tarehe 10/04/2014 hatapokelewa tena na atakuwa amepoteza ajira yake.

Das könnte Ihnen auch gefallen