Sie sind auf Seite 1von 5

Ufafanuzi kuhusu dukuduku zilizojitokeza kuhusu Utafiti wa kura ya

maoni wa TWAWEZA
Mjadala unaoendelea kwenye vyombo mbalimbali vya habari, mitandaoni na
kwingineko kuhusu ripoti ya Utafiti wa kura ya maoni ya Twaweza kuhusu hali ya
siasa nchini Tanzania umeelemea kwenye hisia kwamba matokeo ya Utafiti huo
yana walakini. Makala hii inajibu hoja kuu tatu zinazobeba dukuduku hizo.
Hoja ya kwanza: Jumla ya asilimia sio 100 kamili.
Wanaokosoa Utafiti huo wanadai kuwa katika vielelezo kadhaa jumla ya asilimia
sio 100 kamili. Katika baadhi ya vielelezo hivyo, jumla ya asilimia ipo 99, 101 au
102
Hii imetokana tu na kuweka jumla inayokaribiana na namba kamili, au kwa
kimombo rounding the figures to the nearest whole number, kitu ambacho ni
cha kawaida katika tasnia ya Utafiti. Watafiti wa Twaweza wamefanya hivyo kwa
sababu kuweka tarakimu zikiwa na pointi za desimali moja au mbili
kunamaanisha kiwango cha uhakika wa matokeo kinaweza kutoa picha potofu.
Mifano ifuatavyo yaonyesha jumla isiyo karibu na namba kamili, kwa kimombo
unrounded figure, sambamba na jumla iliyo karibu na namba kamili (rounded
figure) kama ilivyowasilishwa kwenye matokeo ya Utafiti huo

Kwa kielelezo 2a: Je unazijua ahadi zilizotolewa na mbunge wako?


unrou
nded

round
ed

Sijui

5.14%

5%

Ndio

64.39% 64%

Hapana

30.47% 30%

Jumla

100.0
0%

99%

Kwa vielelezo 5b, 5c, 5d: Kielelezo 5b: Kama uchaguzi ungefanyika leo,
ungempigia kura mgombea wa chama gani? (Mbunge)/ Kielelezo 5c:
Kama uchaguzi ungefanyika leo, ungempigia kura mgombea wa chama
gani? (Diwani) / Kielelezo 5d: Je, unajisikia uko karibu na chama gani
zaidi??
Ukaribu

na

Mbunge
( Kielelezo 5b)

Diwani
chama (Kielelezo
(Kielelezo 5c)
5d)

unrou
nded

roun
ded

unrou
nded

rounde unrou
d
nded

rounde
d

CCM

60.4%

60%

59.9%

60%

61.9%

62%

Chadema

24.1%

24%

25.5%

26%

25.0%

25%

CUF

1.8%

2%

2.5%

3%

2.3%

2%

ACTWazalend
o

1.4%

1%

0.6%

1%

0.7%

1%

NCCR
Mageuzi

1.1%

1%

1.0%

1%

0.3%

0%

Ukawa*

2.8%

3%

2.6%

3%

2.1%

2%

Vyama
vingine

6.4%

6%

6.0%

6%

2.3%

2%

2.0%

2%

1.9%

2%

5.3%

5%

100.0
%

99%

100.0
%

102%

100.0
%

99%

Sijui
Hakuna
jibu
Jumla

Kwa kielelezo 6b: Je, Ukawa itaonekana katika karatasi ya kupigia kura
kama mojawapo ya vyama vya siasa siku ya uchaguzi wa mwaka 2015??
unrou
nded

round
ed

Sijui

17.6%

18%

Hapana

25.7%

26%

Ndio

56.7%

57%

Jumla

100.0
%

101%

Hoja ya pili: Jumla za mwaka 2013 na 2013 ni pungufu ya asilimia


100.
Katika majedwali 5a-5d, baadhi ya jumla kwa mwaka 2013 na 2014 ni pungufu
ya asilimia 100. Hii imetokana na baadhi ya majibu ya wahojiwa (wa miaka hiyo)
kutoingizwa kwenye majedwali ya mwaka huu kwa sababu hakukuwa na majibu
kutoka kwa wahojiwa hao. Kwa mfano, jibu sipigii kura chama, napigia kura
mgombea lilikuwa maarufu katika miaka hiyo, lakini halikutajwa kwa mwaka
huu.
Namba kamili kwa vielelezo hivyo manne zaonyeshwa hapa chini. Namba
ambazo hazikujumuishwa katika matokeo ya Utafiti zaonyeshwa kwa italiki. Pia
unrounded na rounded figures kwa mwaka huu zaonyeshwa pia
Kwa Kielelezo 5a: Kama uchaguzi ungefanyika leo, ungempigia kura
mgombea wa chama? President
201

201

201

2015

CCM

61%

47%

Chadema

30%

CUF

Unrou
nded

Roun
ded

51%

65.8%

66%

30%

23%

21.5%

22%

4%

4%

4%

0.5%

1%

ACT-Wazalendo

0%

0%

0%

0.2%

0%

NCCR Mageuzi

0%

1%

1%

0.2%

0%

Ukawa*

0%

0%

0%

3.3%

3%

Kingine

1%

2%

0%

6.3%

6%

Sijui / hakuna jibu

4%

0%

4%

2.2%

2%

Sipigii kura vyama bali


wagombea

0%

15%

16%

0.0%

0%

Hakuna

0%

1%

1%

0.0%

0%

Jumla

100
%

100
%

100
%

100.0
%

100%

Kwa kielelezo 5b: Kama uchaguzi ungefanyika leo, ungempigia kura


mgombea wa chama? Mbunge

2015
2012

2013

2014

CCM

60%

44%

Chadema

31%

CUF

Unround
ed

Rounde
d

46%

60.4%

60%

31%

24%

24.1%

24%

4%

4%

4%

1.8%

2%

ACT-Wazalendo

0%

0%

0%

1.4%

1%

NCCR Mageuzi

0%

1%

1%

1.1%

1%

Ukawa*

0%

0%

0%

2.8%

3%

Kingine

0%

2%

1%

6.4%

6%

Sijui / hakuna jibu

5%

0%

5%

2.0%

2%

0%

17%

18%

0.0%

0%

0%

1%

1%

0.0%

0%

Sipigii
kura
wagombea
Hakuna

vyama

bali

Jumla

100%

100%

100%

100.0%

99%

Kwa kielelezo 5c: Kama uchaguzi ungefanyika leo, ungempigia kura


mgombea wa chama? Diwani

2015
2012

2013

2014

CCM

61%

45%

Chadema

29%

CUF

Unround
ed

Rounde
d

47%

59.9%

60%

30%

23%

25.5%

26%

4%

4%

4%

2.5%

3%

ACT-Wazalendo

0%

0%

0%

0.6%

1%

NCCR Mageuzi

0%

1%

1%

1.0%

1%

Ukawa*

0%

0%

0%

2.6%

3%

Kingine

1%

2%

1%

6.0%

6%

Sijui / hakuna jibu

5%

0%

5%

1.9%

2%

0%

17%

18%

0.0%

0%

Hakuna

0%

1%

1%

0.0%

0%

Jumla

100%

100%

100%

100.0%

102%

Sipigii
kura
wagombea

vyama

bali

Kwa kielelezo 5d: Je, unajisikia uko karibu na chama gani zaidi??
201
2

201
3

201
4

CCM

65%

54%

Chadema

26%

CUF

2015
Unrou
nded

Roun
ded

54%

61.9%

62%

32%

27%

25.0%

25%

3%

4%

4%

2.3%

2%

ACT-Wazalendo

0%

0%

0%

0.7%

1%

NCCR Mageuzi

0%

1%

1%

0.3%

0%

Ukawa*

0%

0%

0%

2.1%

2%

Kingine

2%

1%

2%

2.3%

2%

Sijui / hakuna jibu


Sijihusishi
chochote
Jumla

na

chama

4%

0%

2%

5.3%

5%

0%

8%

10%

0.0%

0%

100
%

100
%

100
%

100.0
%

99%

Hoja ya tatu: Idadi ya watu waliochaguliwa kuhojiwa ya watu 1,848 tu


ni ndogo.
Baadhi ya wanaohoji kuhusu matokeo ya Utafiti huo wanadai kuwa idadi ya watu
waliochaguliwa kuhojiwa katika Utafiti huo, yaani watu 1,848 ni ndogo mno
kuwezesha kupatikana jibu la uhakika. Hoja hii si sahihi. Cha muhimu ni jinsi
watu hao waliochaguliwa kwa ajili ya mahojiano ya Utafiti huo walivyochaguliwa:
kama wakichaguliwa pasi kuwa na dhamira fulani, kwa kimombo at random,
katika namna ambapo watu hao wana uwakilishi (kwa kimombo
representative) wa watu wote wenye umri wa kupiga kura nchini, basi hata
idadi ndogo zaidi ya hiyo iliyotumika yaweza matokeo mwafaka.
Katika nchi zenye idadi kubwa ya watu zaidi ya Tanzania, kwa mfano Marekani,
kura za maoni kwa kawaida hutumika idadi ya wahojiwa takriban 1,000 tu. Utafiti
unaoheshimika wa Afrobarometer unatumia idadi ya wahojiwa 2,400 kwa
Tanzania. Pamoja na udogo huo wa wahojiwa, bado wanaweza kupata matokeo
sahihi kitakwimu kuhusu mitizamo ya watu wote nchini. Tofauti na hilo, kama
washiriki katika mahojiano ya Utafiti wanajichagua wenyewe, kwa mfano kama
ilivyo kwenye kura nyingi za maoni mtandaoni) au kama mbinu ya kuchagua
wahojiwa inaleta ugumu kushirikisha idadi kubwa ya makundi mbalimbali ya
watu katika Utafiti husika (kama ilivyo tena kwenye kura nyingi za maoni
mtandaoni), basi hata idadi kubwa ya wahojiwa haiwezi kutoa matokeo ya
kuaminika kitakwimu
Katika Utafiti wa kura ya maoni wa Twaweza, waliohojiwa walichaguliwa pasi
kuwepo dhamira fulani na walikuwa wakiwakilisha watu wote wenye umri wa
kupiga kura nchini Tanzania. Kwahiyo, kwa idadi hiyo iliyotumika, kuna uhakika
wa asilimia 95 kwamba matokeo yaliyopatikana ni uwakilishi sahihi wa wananchi
wote, huku kukiwa na uwezekano wa makosa, kwa kimombo margin of error,
wa asilimia chanya/hasi 2.5 (+/- 2.5%). Idadi ya waliochaguliwa kuhojiwa,
kiwango cha kuaminika na uwezekano wa makosa vyaendana na kanuni stahili
za kimataifa za uendeshaji Utafiti wa kura ya maoni.

Das könnte Ihnen auch gefallen