Beruflich Dokumente
Kultur Dokumente
HabariZA
za
NISHATI
nishati&MADINI
&madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Toleo
No.135
51
Toleo No.
Limesambazwa
kwa Taasisi
naTaasisi
Idarana
zote
MEM
Limesambazwa
kwa
Idara
zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015
Septemba 2 - 8, 2016
Wabunge
WANAFUNZI WENGINE 20
KUSOMEA MAFUTA NA GESI CHINA
Somahabari Uk.2
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa tano kulia), Naibu Balozi wa China Gou Haodong (kulia kwa Waziri) pamoja
na wanafunzi waliopata ufadhili kusomea fani ya mafuta na gesi asilia katika Chuo kikuu cha GeoScience (Wuhan).
Mkurugenzi Mtend-
Mkurugenzi Mkuu wa
Naibu Waziri wa Nishati na
Naibu Waziri wa Nishati na
aji wa TANESCO,
WIZARA YA
NISHATI
ZANZIBAR,
BARA
ZAJADILI
REA, Dk. Lutengano
Madini, anayeshughulikia
Madini anayeshughulikia
Mhandisi Felchesmi
Mwakahesya
Madini Stephen Masele
Nishati, Charles Kitwanga
Mramba
UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA BAHARI YA HINDI
JWTZ wapongezwa kunusuru mtambo wa Msimbati-Uk4
Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo
>>>
UK. 6
NewsBulletin
Habari za nishati/madini
http://www.mem.go.tz
Septemba 2 - 8, 2016
Wanafunzi wengine 20
kusomea Mafuta na Gesi China
NewsBulletin
Habari za nishati/madini
http://www.mem.go.tz
TAHARIRI
Tumetekeleza!
Kwa mujibu wa Ripoti Maalum ya Wizara, Sekta za Nishati
na Madini, zina mchango mkubwa wa ukuaji wa uchumi katika
Taifa lolote duniani. Kwa kutambua umuhimu wa sekta hizo
nchini, Serikali katika bajeti yake ya mwaka 2016/17 iliidhinisha
jumla ya Shilingi 1,122,583,517,000 ikilinganishwa na Shilingi
642,123,079,000 zilizoidhinishwa na Bunge Mwaka 2015/16, sawa
na ongezeko la asilimia 74.8.
Ongezeko hilo lilitokana na kuongezeka kwa bajeti ya fedha
za ndani za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) lengo likiwa ni
kuhakikisha kuwa wananchi wengi, hususan waishio vijijini
wanapata huduma ya umeme.
Katika utekelezaji wa bajeti yake, Wizara imeweka vipaumbele
mbalimbali katika sekta za nishati na madini. Vipaumbele katika
sekta ya nishati ni pamoja na kuimarisha uzalishaji, usafirishaji na
kuongeza kasi ya usambazaji wa umeme nchini kwa maendeleo ya
Taifa na kuendelea na utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Sekta
ya Umeme (Electricity Supply Industry Reform Strategy).
Vipaumbele vingine katika sekta ya nishati ni pamoja na
kuendeleza nishati jadidifu kama vile jotoardhi na tungamotaka;
kuwezesha uanzishwaji wa mtandao wa usambazaji wa gesi asilia
pamoja na uendelezaji wa mradi wa kusindika gesi asilia (Liquefied
Natural Gas - LNG) na kuvutia uwekezaji katika Sekta ya Nishati,
hususan kwenye uzalishaji wa umeme na katika utafiti wa mafuta
na gesi asilia.
Vipaumbele katika sekta ya madini ni pamoja na kuimarisha
ukusanyaji wa Mapato ya Serikali yatokanayo na rasilimali za
madini kwa kuziwezesha Ofisi za Madini za Kanda, Ofisi za Afisa
Madini Wakazi pamoja na Kitengo cha Leseni kilichopo Makao
Makuu ya Wizara na kuendeleza wachimbaji wadogo na wa kati
wa madini kwa kuwatengea maeneo ya uchimbaji na kutoa ruzuku.
Vipaumbele vingine ni pamoja na kuhamasisha shughuli za
uongezaji thamani wa madini; kuimarisha ufuatiliaji na ukaguzi
wa afya, usalama, mazingira na uzalishaji wa madini katika migodi
midogo, ya kati na mikubwa; na kuendelea kuhamasisha uwekezaji
katika Sekta ya Madini.
Kutokana na mikakati iliyowekwa na Wizara katika uimarishaji
wa sekta ya nishati, kiwango cha upatikanaji wa huduma ya
umeme (access level) kimekuwa kikiongezeka mwaka hadi mwaka.
Watanzania waliofikiwa na huduma hiyo wameongezeka kutoka
asilimia 36 mwezi Machi, 2015 hadi kufikia takriban asilimia 40
mwezi Aprili, 2016. Ongezeko hilo limetokana na juhudi za Serikali
za kusambaza umeme nchini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini
(REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Mafanikio mengine yaliyopatikana katika sekta ya nishati ni
pamoja na uimarishwaji wa miundombinu ya uzalishaji umeme,
kuimarisha Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), kuongezeka
kwa kasi ya usambazaji wa umeme vijijini, kuongezeka kwa
uwekezaji kwenye sekta ya gesi asilia na mradi wa bomba la
kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi katika
bandari ya Tanga nchini Tanzania.
Mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya madini ni pamoja na
uanzishwaji wa madawati kwa ajili ya kukagua madini kwenye
viwanja vya ndege ambapo tangu kuanzishwa kwa madawati hayo
mwaka 2012
Tangu madawati maalumu yaanzishwe mwezi Julai, 2012
hadi mwezi Juni, 2016, madini mbalimbali yakiwemo tanzanite,
dhahabu, fedha na madini mengine ya vito yenye uzito wa kilo
2,893.54 na karati 2,971.85 yalikamatwa yakitoroshwa nje ya nchi
katika matukio 98. Thamani ya madini hayo ni takribani Dola za
Marekani milioni 10.8 na Shilingi bilioni 1.3, kuimarisha uchimbaji
mdogo kupitia utoaji ruzuku na uhamasishaji wa ushiriki wa
wazawa katika sekta ya madini.
Tunaipongeza Serikali kwa mafanikio pamoja na mikakati
iliyojiwekea ili kuhakikisha kuwa sekta za nishati na madini
zinakuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji wa uchumi wa n
chi. HAKIKA TUMETEKELEZA!
Septemba 2 - 8, 2016
TEL-2110490
FAX-2110389
MOB-0732999263
Bodi ya uhariri
Msanifu: Lucas Gordon
Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James ,
Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya
Five
Pillars of
Reforms
increase efficiency
Quality delivery
of goods/service
satisfAction of
the client
satisfaction of
business partners
satisfAction of
shareholders
Habari za nishati/madini
Septemba 2 - 8, 2016
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Na Mohamed Saif
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Septemba 2 - 8, 2016
atendaji kutoka
Wizara ya Nishati
na Madini na
Wizara ya Maji,
Ardhi, Nishati na
Mazingira ya Zanzibar, mwishoni
mwa juma walikutana katika kikao
kilichojadili Utafutaji wa Mafuta
na Gesi Asilia kwenye maeneo ya
Bahari ya Hindi.
Kikao hicho kilijadili kuhusu
umuhimu wa kuimarisha mahusiano
na ushirikiano zaidi katika sekta
Meneja Mkuu
wa Shirika
la Umeme
Zanzibar (ZECO)
Hassan Mbarouk,
akiongea jambo
wakati wa kikao
baina ya Wizara
ya Nishati na
Madini, watendaji
kutoka Taasisi na
Wizara ya Maji,
Ardhi, Nishati
na Mazingira
kilichojadili
Utafutaji wa
Mafuta na Gesi
kwenye maeneo
ya Bahari ya
Hindi.
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Septemba 2 - 8, 2016
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Septemba 2 - 8, 2016
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Septemba 2 - 8, 2016
By Greyson Mwase,
Arusha
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Septemba 2 - 8, 2016
CURRENT TRENDS
By Raphael B.T. Mgaya
Depreciation
Allowance
20 %
20%
20%
20%
20%
CAP. 328.
This means, training and annual
fees which under the Petroleum Act
were to be collected and or used
by PURA and or the Tanzania
Petroleum Development Corporation
will now to be collected by TRA.
The Finance Act also includes other
monies imposed by or collected
under the laws this means sales of
data also fall under the ambit of this
new law. The annual fees, training
fees and revenues from the sales of
data hitherto have been instrumental
in building capacity in the industry.
Most of us have luck to get training
from around the world through
the financing from these monies. It
remains to be seen to what extent this
new paradigm will have an impact
on the capacity building in the energy
sector in country.
Non Tax Laws must be Gazetted
Before TRA starts collecting
revenues under the non-tax laws the
Minister of Finance must first issue
a notice in the Government Gazette
to that effect. Before the non-tax law
which has not yet been gazetted will
continue to be administered by the
respective authority until it is gazetted.
AMENDMENT OF THE TAX
ADMINSTRATION ACT, CAP.
438
Disclosure of Contractors and
sub-contractors
The Tax Administration Act,
CAP. 438 is amended by Section 57
of the Finance Act by adding to it
Section 44A which states that any
entity engaged in the construction
and extraction industry shall disclose
to the Commissioner General the
names of all persons contracted
and sub-contracted in the course of
performance of their duty or business
or carrying our any project. A party
that fails to disclose the names of
person contracted and sub-contracted
is liable to pay a fine of 25% of the
quantum payable or fine of not
exceeding 4000 currency points
whichever is greater.
Security of Costs with Respect to
Objection of a Tax Decision
Section 51(5) of the Tax
Administration Act is amended by
Section 58 of the Finance Act by
introducing the following wording:
any objection to any decision shall
not be admitted unless the taxpayer
has, within a period of 30 days from
the date of service of tax decision
paid the amount of tax which is not
in dispute or one third of assessed
tax decision whichever amount is
greater.
Powers of the Minister and the
Commissioner General
The Minister for Finance may in
consultation with the Commissioner
General remit the interest imposed
under any tax law up to an amount of
50%. Upon being satisfied that there
is a good cause, the Commissioner
General may remit penalty imposed
under tax law, wholly or in part.
AMENDMENT OF THE
VOCATIONAL EDUCATION
AND TRAINING ACT
Reduction in Skills Development
Levy
All employers with at least 4
employees are obliged to a skill
development levy chargeable under
Section 14 (2) of the VETA Act. The
rate has been reduced from 5 percent
to 4.5 percent. The levy is charged on
annual wage bill but paid quarterly.
This is a relief to companies including
oil and gas exploration companies.
CONCLUSION
There cannot be a better
evidence to show that the Fifth
Phase Government is committed to
maximize the tax revenues and curb
all loop holes for tax evasion than the
Finance Act, 2016. It remains to be
seen how this will have influence to
the economic progress of our great
country.
The author is an advocate of the Superior Courts in Tanzania and subordinate courts save the Primary Courts. He currently works as a
Senior Legal Officer for the Ministry of Energy and Minerals. He holds LLB (Hons.) (Dar); LLM (Intl law) (Warwick); LLM (Oil and Gas law)
(RGU Aberdeen); MBA (Mzumbe); CLE (Mississippi).
He can be reached through: raphael.mgaya@gmail.com
DISCLAIMER:
Views expressed herein are entirely authors views and should not be associated with his employer.
10
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Septemba 2 - 8, 2016
NAFASI ZA MAFUNZO YA
UKATAJI VITO KWA WANAWAKE
b)
c)
d)
e)
Sifa za Mwombaji
f)
g)
Lengo la Mafunzo
Lengo la mafunzo haya ni kuwawezesha wanawake
kujiajiri au kuajiriwa katika fani ya ukataji na usanifu
madini ya vito ili kuongeza thamani ya madini hayo.
Muda wa Mafunzo
Barua za maombi, CV na vyeti vitumwe kwa: Mwenyekiti, Kamati ya AGF Women Foundation
Fund, S. L. P. 641, Arusha; au yaletwe kwa mkono
katika ofisi za Madini Kanda ya Kaskazini zilizopo
Themi, Njiro. Kwa maelekezo zaidi piga simu Namba
027 254 4079. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe
16/09/2016.
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Septemba 2 - 8, 2016
11