Sie sind auf Seite 1von 5
(NBAA) LS THE NATIONAL BOARD OF ACCOUNTANTS AND AUDITORS b-°4 TANZANIA ‘TEL NOS. (255) (022) 22118909 MHASIBU HOUSE FAX: (255) (022) 2151746 BIBI TITI MOHAMED STREET E-MAIL: info@nbua-t.ore P.O. BOX 5128 WEBSITE: www.nbaa-tz.0rg DAR ES SALAAM Kumb, Na NBAA/PMO/GM. Desemba 2016 TAARIFA KWA UMMA. MATOKEO YA MITIHANI YA NBAA ILIYOFANYIKA NOVEMBA 2016 10 cha 170 cha Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kilichokaa leo tarehe 22 Desemba 2016 matokeo kwa watahiniwa waliofanya mitihani ya Bodi iliyofanyika tarehe 1 hadi 4 Novemba 2016 yamepitishwa na kutangazwa, Mitihani hiyo ilifanyika katika vituo kumi na moja vya mitihani vilivyopo Tanzania Bara na Visiwani. Mitihani hiyo ilihusisha watahiniwa katika hatua ya Kwanza na ya Pili katika Ngazi ya Cheti cha Utunzaji wa Hesabu (ATEC 1, ATEC II) zenye masomo manne kila moja na Ngazi ya Taaluma; Hatua ya Awali/Msingi (Foundation Level) yenye masomo matano, Hatua ya Kati (Intermediate Level) yenye masomo sita na Hatua ya Mwisho (Final Level) yenye masomo manne. Mitihani hii ni ya tano chini ya mfumo mpya wa elimu na mafunzo unaozingatia weledi 2.0 Matokeo ya mitihani 2.1 Matokeo ya Jumla Watahiniwa waliojisaliwa walikuwa 6,917 kati ya hao watahiniwa 635 sawa na asilimia 9.2 hawakuweza kufanya mitihani hiyo kwa sababu mbalimbali, Hivyo watahiniwa waliofanya mitihani walikuwa 6,282 sawa na asilimia 90.8. Kati ya watahiniwa Waliofanya mitihani hiyo watahiniwa 263 ambao ni asilimia 4.2 wamefaulu mitihani katika mkao mmoja, wengine 281 sawa na asilimia 4.4 wamefaulu kwa kufaulu masomo walioyokuwa wameshindwa katika mitihani ya nyuma, wengine 721 sawa na asilimia 11.5 wamefaulu mitihani yao kwa kufaulu masomo waliyokuwa wamebakiza. Kwa ujumla watahiniwa 1,265 sawa na asilimia 20.1 wamefaulu mitihani yao. Watahiniwa wengine 2,119 sawa na asilimia 33.8 wamefaulu baadhi ya masomo katika ngazi mbalimbali na watahiniwa 2,898 waliobakia sawa na asilimia 46.1 hawakufaulu mitihani yao. € Menterf lemons Fedenion cf Acuna (IFAC) & Pan Afcan Fenton of Accoustans (AFA) @ PAFA All communication to be addressed ro the Executive Director NBAA 2.2. Watahiniwa waliofaulu kutunukiwa Cheti cha Utunz: ) nal Shahada ya Juu ya Uhasibu (CPA) ita. Cheti cha Utunzaji wa Hesabu (ATEC) Jumla ya watahiniwa 49 wamefaulu mtihani wa Ngazi ya Cheti cha Utunzaji Hesabu (Accounting Technician Level II). Idadi hii inafanya jumla ya watahiniwa Waliofaulu mitihani ya Cheti kufikia 3,696 tangu mitihani hii ianze mwaka 1991 Kati ya watahiniwa hao wanawake ni 21 sawa na asilimia 42.9 na wanaume ni 28 sawa na asilimia $7.1 2.2.2 Shahada ya Juu ya Uhasibu (CPA) Jumla ya watahiniwa 420 wamefaulu mtihani wa Shahada ya Ju ya Uhasibu nehini - CPA (T). Idadi hii inafanya jumla ya watahiniwa waliofaulu mitihani ya CPA kufikia 7,597 tangu mitihani hii ianze mwaka 1975. Kati ya watahiniwa hao wanawake ni 144 sawa na asilimia 34.3 na wanaume ni 276 sawa na asilimia 65.7 2.3 Matokeo katika Ngazi Mbalimbali 23.1 23.11 Ngazi ya Cheti (Accounting Technician) Hatua ya Awali ya Cheti (Accounting Technician Level I) Katika ngazi ya awali ya mitihani ya Uandishi na Utunzaji wa Hesabu (ATEC 1) watainiwa waliojisaliwa walikuwa 92 kati ya hao watahiniwa 08 sawa na asilimia 8.7 hawakuweza kufanya mitihani hiyo kwa sababu mbalimbali. Hivyo watahiniwa waliofanya mitihani walikuwa 84 sawa na asilimia 91.3. Kati ya watahiniwa 84 waliofanya mitihani katika ngazi hii watahiniwa 14 ambao ni asilimia 16.7 wamefaulu mitihani katika mkao mmoja, mtahiniwa 01 sawa na asilimia 1.2 amefaulu kwa kufaulu masomo aliyokuwa ameshindwa katika mitihani ya nyuma, wengine 09 sawa na asilimia 10.7 wamefaulu mitihani yao wa kufaulu masomo waliyokuwa wamebakiza. Kwa ujumla watahiniwa 24 sawa na asilimia 28.6 wamefaulu mitihani yao. Watahiniwa 23 sawa na asilimia 274 wamefaulu baadhi ya masomo katika ngazi hii, Watahiniwa 37 waliobakia sawa na asilimia 44.0 hawakufaulu mitihani yao. 2.3.1.2 Hatua ya Pili ya Cheti (Accounting Technician Level 11) Katika ngazi ya uandishi na Utunzaji wa Hesabu (ATEC 11) waliojisaliwa walikuwa 170 kati ya hao watahiniwa 12 sawa na asilimia 7.1 hawakuweza kufanya mitihani hiyo kwa sababu mbalimbali. Hivyo watahiniwa waliofanya mitihani katika ngazi hii walikuwa 188 sawa na asilimia 92,9. Kati ya Watahiniwa waliofanya mitihani katika ngazi hii watahiniwa 20 ambao ni asilimia 12.7 wamefaulu mitihani katika mkao mmoja na mtahiniwa 01 sawa na asilimia 0.6 amefaulu mitihani wake kwa kufaulu masomo aliyokuwa amebakiza. Kwa ujumla watahiniwa 49 sawa na asilimia 31.0 wamefaulu mitihani yao. Watahiniwa 69 sawa na asilimia 43.7 wamefaulu baadhi ya masomo katika ngazi hii, Watahiniwa 40 waliobakia sawa na asilimia 28.3 hawakufaulu mitihani yao. 2.3.2. Ngazi ya Taaluma (Professional Stage) Hatua ya Awali (Foundation Level) Katika Hatua ya Awali; waligjisaliwa walikuwa 454 kati ya hao watahiniwa 49 sawa na asilimia 10.8 hawakuweza kufanya mitihani hiyo kwa sababu mbalimbali. Hivyo watahiniwa waliofanya mitihani walikuwa 405 sawa na asilimia 89.2, Kati ya watahiniwa waliofanya mitihani katika ngazi hil Wwatahiniwa 124 ambao ni asilimia 30.6 wamefaulu mitihani katika mkao mmoja, mwingine 01 sawa na asilimia 0.2 amefaulu kwa kufaulu masomo aliyokuwa ameshindwa katika mitihani ya nyuma, wengine 83 sawa na asilimia 20.5 wamefaulu mitihani yao kwa kufaulu masomo waliyokuwa wamebakiza. Kwa ujumla watahiniwa 208 sawa na asilimia $1.3 wamefaulu mitihani yao. Watahiniwa 152 sawa na asilimia 37.5 wamefaulu baadhi ya masomo katika ngazi hii, Watahiniwa 45 waliobakia sawa na asilimia 11.1 hawakufaulu mitihani yao. 2.3.2.2 Hatua ya Kati (Intermediate Level) Katika Hatua ya Kati; waliojisaliwa walikuwa 3,925 kati ya hao watahiniwa 403 sawa na asilimia 10.3. hawakuweza kufanya mitihani hiyo kwa sababu walikuwa 3,522 sawa na mbalimbali. Hivyo watahiniwa waliofanya mitiha asilimia 89.7, Kati ya watahiniwa hao, watahiniwa 68 ambao ni asilimia 1.9 wamefaulu mitihani katika mkao mmoja, wengine 269 sawa na asilimia 7.7 wamefaulu kwa kufaulu masomo waliyokuwa wameshindwa katika mitihani ya 3 3.0 yuma, wengine 310 sawa na asilimia 8.8 wamefaulu mitihani yao kwa kufaulu masomo waliyokuwa wamebakiza. Kwa ujumla watahiniwa 647 sawa na asilimia 18.4 wamefaulu mitihani yao. Watahiniwa 1,240 sawa na asilimia 35.2 wamefaulu baadhi ya masomo katika ngazi hii. Watahiniwa 1,635 waliobakia sawa na asilimia 46.4 hawakufaulu mitihani yao. 2.3.2.3 Hatua ya Mwisho (Final Level) Katika Hatua ya Mwisho; waliojisaliwa walikuwa 2,276 kati ya hao watahiniwa 163 sawa na asilimia 7.2 hawakuweza kufanya mitihani hiyo kwa sababu mbalimbali, Hivyo watahiniwa waliofanya mitihani walikuwa 2,113 sawa na asilimia 92.8, Kati ya watahiniwa hao, watahiniwa 37 ambao ni asilimia 1.7 Wamefaulu mitihani katika mkao mmoja, wengine 09 sawa na asilimia 0.4 Wwamefaulu kwa kufaulu masomo waliyokuwa wameshindwa katika mitihani ya nyuma, wengine 291 sawa na asilimis 13.8 wamefaulu mitihani yao kwa kufaulu masomo waliyokuwa wamebakiza. Kwa ujumla watahiniwa 338 sawa na asilimia 15.9 wamefaulu mitihani yao. Watahiniwa 635 sawa na asilimia 30.1 wamefaulu baadhi ya masomo ki a ngazi hii, Watahiniwa 1,141 waliobakia sawa na asilimia $4.0 hawakufaulu mitihani yao. Pongezi Bodi inawapongeza wale wote waliofuzu mitihani yao na kuwataka wale ambao hawajafuzu kutokata tamaa bali waongeze bidii zaidi katika masomo yao ili waweze kufanya vizuri katika mitihani ijayo ya Bodi. Bodi inawashauri kutumia vyema vitabu vilivyotayarishwa na Bodi katika kijiandaa kwa mitihani yao. Pia wanashauriwa kusoma vitabu vingine vya ziada ili kuongeza ufahamu zaidi katika masomo hayo. 4.0 Mitihani inayofuata © Mitihani ya CPA ya katikati ya muhula na ile ya Diploma ya IPSAS itafanyika tarehe 21 na 22 Februari 2017 katika kituo cha Dar es Salaam tu © Mitihani ya Mei itafanyika kuanzia tarehe 2 hadi 5 Mei 2017 katika vituo vitakavyotangazwa. Matokeo haya ya mitihani ya 84 ya Bodi yanapatikana katika tovuti ya NBAA ambayo ni www.nbaa.go.tz 4 Pius A. Maneno MKURUGENZI MTENDAST

Das könnte Ihnen auch gefallen