Sie sind auf Seite 1von 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO


MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

Simu: 255 22 2460735/2460706


FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056
Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAM
Tovuti: www.meteo.go.tz

Unapojibu tafadhali nakili:


Kumb. Na.: TMA/1622 04 Aprili, 2017

Taarifa kwa Umma:


Kuendelea kwa vipindi vya mvua kubwa.

Taarifa Na. 201704-01


Muda wa Kutolewa
Saa 10:30 Jioni
Saa za Afrika Mashariki
Daraja la Taarifa: Tahadhari
Kuanzia:
04 Aprili, 2017 - Usiku
Tarehe
Mpaka:
06 Aprili, 2017
Tarehe
Vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya
Aina ya Tukio
saa 24 vinatarajiwa kuendelea na kusambaa katika maeneo
Linalotarajiwa
mengi.
Kiwango cha uhakika: Wastani (60%)
Maeneo yanayotarajiwa Mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es salaam, Pwani na
kuathirika Morogoro pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Hali hii inatokana na kuimarika kwa ukanda wa mvua


Maelezo:
nchini.

Wakazi wa maeneo tajwa wanashauriwa kuchukua


Angalizo:
tahadhari na hatua stahiki.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inaendelea
Maelezo ya Ziada
kufuatilia hali hii na itatoa mrejeo kila itakapobidi.

Imetolewa na
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.

Das könnte Ihnen auch gefallen