Sie sind auf Seite 1von 2

BOXING FEDERATION OF TANZANIA (BFT)

SHIRIKISHO LA NGUMI TANZANIA


Patron CP Simon Sirro Affiliated to AIBA,AFBC&NSC
President: -Mutta Robert Rwakatale P.O.BOX 15558
Vice president: Lukelo A. Willilo TELL: +255 22 2850545
Secretary General: Makore .R.Mashaga FAX: +255 22 2850546
Tresurer: Col. Kapandantava E-mail: bft.tanzania2009@gmail.com
Mob: +255 652 459208 /+255 774 555800 DAR-ES-SALAAM, TANZANIA
+255 713 588 818 /+255 787 959500

May 6, 2017

Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT) limetangaza jumla ya mabondia


ishirini (20) kati yao wanaume kumi na watano (15) wanawake watano
(5) kuunda kikosi cha timu ya taifa ya ngumi 2017.
Uteuzi huo umefanywa na kamati ya ufundi ya BFT ikiwa chini ya
Kocha David Yombayomba kocha Mkuu wa timu ya ngome
akishirikiana na makocha wa timu zote zilizoshiriki mashindano ya
ngumi ya taifa yayomalizika 30/04/2017 Kawe, Dar es salam.
Uteuzi huo umezingatia uwezo wa sasa wa kucheza mchezo wa ngumi,
umri unaokubalika kwa mujibu wa sheria za chama cha ngumi cha
dunia (AIBA) na tabia binafsi ndani na nje ya ulingo.
Majina ya mabondia na uzito wao ni kama ifuatavyo:-
Light Fly weight 49 Kgs.
Herman Richard (Ngome)

Fly weight 52 Kgs.


Ibrahim Aballah (Urafiki)
George Costantino (Ngome)

Bantam weight 56 Kgs.


Ezra Paulo ( Ngome)

Light weight 60 Kgs.


Ismail Galiatano (Ngome)
king Lucas (Kigoma)

Light welter 64 Kgs


Mohamed Juma (Ngome)
kassim Seleman (Ngome)

Wajumbe wa BFT : Anthony Mwangonda, Restuta Bura, Saleh Mwinyikheri, Said Omary
Aisha George Voniatis, Zuwena Kipingu, Leopold Kayunga, Juma Bugingo, Saloum K. Viduka
Welter 69 Kgs.
Said Ramadhan (JKT)
Haruna Hussein (JKT)

Middle weight 75 Kgs


Seleman Kidunda

Light heavy weight 81 Kgs


Yusuph Changarawe

Heavy Weight 91 kgs.


Haruna swanga (Ngome)

Super Heavy weight 91+


Mhina Morris (Ngome)
Alex Sitta (JKT)

Aidha wanawake waliochaguliwa ni Sara Andrew ( Ngome), Grace


Joseph (JKT), Siwatu Eliuta (JKT), Sarafina James (JKT) na Aliskunda
Jonas (Kigoma)
Jumatatu ya Tarehe 8/5/2017 shirikisho litaanza hatua ya kuwaombea
ruhusa kutoka kwa waajili wao ili kuanza mazoezi haraka
iwezekanavyo ajili ya kushiriki mashindano ya Ubingwa wa Afrika
yatakayofanyika Congo Brazzaville 25/05-04/06/2017.
Pia baadhi yao watakwenda kushiriki mashindano ya Afrika mashariki
yatakayofanyika Kampala Uganda mwishoni mwa mwezi huu.
Shirikisho la ngumi BFT linawapongeza kwa jitihada walizofanya hadi
kufikia hatua kubwa ya kuchaguliwa kuwa wachezaji wa timu ya taifa
ya ngumi na linawaomba kuongeza bidii katika mazoezi na kuwa
wavumilivu na moyo wa kizalendo ili kufikia mafanikio ya uwakilishi
wenye tija katika mashindano ya kimataifa watakayokwenda
kutuwakilisha Taifa.

Makore mashaga
Katibu Mkuu(BFT)

Wajumbe wa BFT : Anthony Mwangonda, Restuta Bura, Saleh Mwinyikheri, Said Omary
Aisha George Voniatis, Zuwena Kipingu, Leopold Kayunga, Juma Bugingo, Saloum K. Viduka

Das könnte Ihnen auch gefallen