Sie sind auf Seite 1von 2

TECNO DUDE MKOMBOZI WA WATANZANIA.

Kampuni maarufu ya simu nchini Tanzania Tecno Mobile


imeendelea kujali wateja wake wenye vipato vya aina mbalimbali,
Kampuni imetambuulisha sokoni simu mpya maarufu kama
TECNO DUDE simu hiyo imekuja kua mkombozi kwa watanzania
wenye kipato cha chini waliokua hawana uwezo wa kumiliki simu
zenye teknolojia ya kisasa ya kimtandao yenye kasi maarufu kama
4G (fourth generation).

Tecno Dude ni mkombozi kwa watanzania na sasa watamiliki simu


zenye uwezo wa kua na mtandao wa kasi kwa bei nafuu.

Tecno wameingiza simu hii mpya sokoni kwa nia na madhumuni ya


kuwapa nafasi wateja wao wasio miliki simu zenye uwezo wa kasi ya
mawasiliano ya mtandao wa 4g kumiliki simu ya aina hiyo.
Simu hii maalum na yenye uwezo wa juu kabisa inapatikana
kwenye maduka yote nchini ya simu na zaidi imeanza kupatikana
sasa katika maonesho ya biashara ya SabaSaba 2017.

Wahi na ujipatie simu hii matata kabisa ambayo ina ubatizo wa jina
la TecnoDude ukifika dukani wewe sema nipatie TecnoDude , na
hapo utakua umekua miongoni mwa watu waliopata kilicho bora,
Tecno wanawaambia wateja wao ni muda wa kuwasha dude s lenye
mawasiliano ya uwezo kasi ya hali ya juu wa 4G.

Das könnte Ihnen auch gefallen