Sie sind auf Seite 1von 2

WIZI BASI! www.imeicommunity.

com
VIBALI: Usajili wa kampuni- BRELA: 127915; TRA TIN: 130-954-928; Leseni ya Manispaa: B 2690831; Leseni ya
TCRA: TCRA/OCS_WEB/005/2018
Zaidi ya watu Billion 5 kujiunga na MTANDAO WA WENYE SIMU DUNIANI
INTENT TECHNOLOGIES LTD-IMEI COMMUNITY)

Karibu IMEI Community…..Mtandao wa wenye simu duniani kwa nia ya kupambana na


kuzuia wizi wa simu, Laptop,Pikipiki (Bodaboda), Bajaji, Magari na mali yoyote yenye namba
tambulishi (Serial number). Jiunge leo, ufaidike na kufurahi pamoja na mamilioni ya wenye
simu duniani kote.
FAIDA 14 ZA KUJIUNGA NA UMOJA WA WENYE SIMU DUNIANI ( IMEI COMMUNITY)
1. Simu iliyoibiwa (Smartphone): Kufuatilia (Tracking) na kuonyesha mahali simu ilipo popote duniani, kuifunga
simu kwa password maalum, kuhifadhi taarifa (file upload), kufuta taarifa zote (Data delete/erase), kutuma
ujumbe kwenye simu kuonyesha mmiliki halali na jinsi ya kuirudisha, kutuma milio mbalimabli ikiwemo ya
king’ora (Siren alarm). Kuzuia kuzima wala kufanya chochote kwenye simu n.k .
2. Kutangaza duniani kote mali zako zote zilizoibiwa bila gharama yoyote ..Simu, laptop, bajaji, Bodaboda, Gari, TV
na mali yoyote yenye namba tambulishi.
3. Mali itakayoibiwa kwenye nchi moja itarudishwa kwa mmiliki halali kwenye nchi ilikoibiwa. Ikipatikana
mkoa/wilaya/ kijiji basi itarudishwa kwa mmiliki halali mkoa/wilaya/ kijiji ilikoibiwa.
4. Uwezekano mkubwa wa kupata tena mali zako zilizoibiwa.
5. Kutambua mali zote ambazo ni za wizi ili usije ukahusishwa na kesi za wizi na kuharibu sifa yako. Mali za wizi
zitajulikana kuanzia ngazi ya Kijiji/Kata/Tarafa/Wilaya/Mkoa/Nchi/Bara.
6. Kutambua (STATUS check/search) mmiliki halali wa mali zilizoibiwa yaani Jina, namba ya simu nchi, mkoa, wilaya
na kijiji mali ilikoibiwa. Tarehe, na eneo mali ilikoibiwa, report ya polisi (RB namba) na jinsi tukio la wizi
lilivyotokea nk. Jaribu kuingiza hii namba tambulishi ya laptop iliyoibiwa 5CG540305M kwenye mtandao
https://www.imeicommunity.com uone siri ya mtandao huu.
7. Kusajili namba tambulishi za mali zako bila kikomo (Simu, Laptop, bodaboda, Bajaji, Gari,na mali yoyote yenye
namba tambulishi).
8. Kukagua idadi yoyote ya mali ili kutambua kama mali ni ya wizi au la ( status checks/search)
9. Kutangaza bure idadi yoyote ya mali zilizoibiwa (Unlimited number of reported stolen items)
10. Kurudishiwa gharama zote au sehemu ya gharama ya mali iliyoibiwa. Hii ni kwa kipindi cha promosheni tu
kulingana vigezo na mashariti.
11. Kushiriki promosheni mbalimabi na kupata zawadi kulingana na vigezo na mashariti
12. Kushiriki mijadala mbalimbali na kujifunza mengi kutoka kwa watu wengine duniani.
13. Kupata takwimu ya matukio mbalimbali ya mtandao kama vile idadi ya wanachama, mali zilizoibiwa na
kutangazwa, malizilizopatikana na kurudishwa kwa wamiliki kuanzia ngazi ya kijiji, Tarafa, Wilaya, Mkoa, Taifa na
Bara.
14. Gharama ya kiingilio ndogo sana karibia na bure yaani Tsh 2,300 tu ambayo hulipwa mara moja kwa mwaka.

SIFA SABA (7) ZA KUJIUNGA NA UMOJA WA WENYE SIMU DUNIANI (IMEI COMMUNITY)
1. Mtu yeyote anayemiliki mojawapo ya mali zifuatazo; Simu, Laptop, Pikipiki (Bodaboda), Bajaji (Threewheeler),
Gari, TV, King’amuzi na mali yoyote yenye namba tambulishi (Serial number).
2. Mtu yeyote mwenye tabia za uzalendo anayechukizwa na wizi ambaye yuko tayari kuungana na watu wengine
duniani kupambana na wizi kwa teknolojia ya mtandao wa imeicommunity.com
3. Mtu yeyote ambaye hana historia au tabia ya kuiba au kushirikiana na wezi
4. Mtu yeyote anayejua hasara na uchungu unaotokana na kuibiwa na anatamani kupata tena mali zake
zilizoibiwa.
5. Mtu yeyote ambaye yuko tayari kutangaza mali zake zilizoibiwa kwenye mtandao wa IMEI COMMUNITY ili
zisiweze kuuzika na iwe rahisi kurudishiwa mali zake endapo zitapatikana kokote zitakapopatikana duniani.
6. Mtu yeyote ambaye yuko tayari kuwaambia watu wengine faida za mtandao wa IMEI COMMUNITY ili wajiunge.
7. Maadui wa IMEI COMMUNITY wenye nia ya dhati ya kubadilika.

MAADUI SITA (6) WA UMOJA WA WENYE SIMU DUNIANI (IMEI COMMUNITY)


1. Mtu yeyote mwenye tabia ya wizi au kushirikiana na wezi. Mtu wa aina hii anawasadia wezi kuendelea
kuiba.
2. Mtu yeyote anayebadilisha au kuwasaidia wezi kubadilisha namba tambulishi za mali za wizi (kubadili
IMEI za Simu, chasis namba za vyombo vya moto…bodaboda, bajaji, magari nk). Mtu wa aina hii
anawasadia wezi kuendelea kuiba.
3. Mtu yeyote anayeibiwa mali zake na asizitangaze kwenye mtandao wa IMEI COMMUNITY. Mtu wa aina
hii anawasadia wezi kuendelea kuiba.
4. Mtu yeyote anayeibiwa mali zake na hatoi taarifa polisi. Mtu wa aina hii anawasadia wezi kuendelea
kuiba.
5. Mtu yeyote asiyehifadhi namba tambulishi za mali zake na kukosa vigezo vya kuzitangaza hizo mali
kwenye mtandao wa imeicommunity.com pale zinapoibiwa. Mtu wa aina hii anawasadia wezi
kuendelea kuiba
6. Mtu yeyote ambaye ameshajifunza na kuelewa vizuri lengo, madhumuni na faida za mtandao wa IMEI
COMMUNITY lakin bila sababu yoyote ya msingi bado hataki kujiunga. Mtu wa aina hii anawasadia wezi
kuendelea kuiba.

JINSI YA KUJIUNGA NA UMOJA WA WENYE SIMU DUNIANI (IMEI COMMUNITY)


Kiingilio ni Tsh 2,300 tu kwa mwaka na hakuna gharama nyingine zaidi.

Kulipa kwa mitandao ya pesa (MPESA,TIGO PESA, AIRTEL MONEY au HALOPESA) fuata maelekezo haya:
 Tuma pesa (au huduma za kifedha kama unatumia TIGOPESA)
 Kwenda benki
 Chagua benki ya CRDB
 Akaunti number ingiza 0150227795400
 Kiasi ingiza 2,300

Tunza sana kumbukumbu ya muamala kwani hiyo ndiyo tiketi yako ya kupata huduma au kushiriki faida zote za UMOJA
WA WENYE SIMU DUNIANI (IMEI COMMUNITY) kwa mwaka mzima. Pia hiyo kumbukumbu namba ya muamala
itahitajika wakati wa kujisali kwenye mtandao. Kupata maelezo zaidi jinsi ya kujiunga tuma ujumbe wenye neno
WIZI BASI kwenda namba 0742555397. Karibu sana IMEI COMMUNITY bofya hapa https://www.imeicommunity.com
kasha nenda juu kulia kwenye “Sign up” ili kujisajili na kufurahia huduma zetu. Kujifunza zaidi tembelea ukurasa wetu
wa Facebook @IMEICommunity au tupigie; +255742555397 au tutembelee ofisini kwetu: INTENT TECHNOLOGIES LTD
(IMEI COMMUNITY), Acacia Estates Offices, Kinondoni road plot 84, First floor, Dar es Salaam Tanzania. Au Dodoma
Mjini: Waziri House, Fatina Street Plot 24 Block 23, First Floor, Majengo. Pia waweza kuwasiliana na Wakala/Balozi
(Ambassador) wetu aliyekaribu na wewe.

HAKI HUINUA TAIFA! IMEI COMMUNITY WIZI BASI!

Das könnte Ihnen auch gefallen