Sie sind auf Seite 1von 3

MCHANGANUO WA MAKADIRIO YA KAZI

SEHEMU A: MAHITAJI
S/No. Jina la Shughuli Vizio Idadi Kima Kiasi

1 Mawe lori 14 m3 350,000 350,000


2 Saruji (zege la msingi) mifuko 50 650,000 650,000
3 Mchanga (zege la msingi) lori 4.6 m3 55,000 55,000
4 Kokoto(zege la msingi) lori 5.0 m3 385,000 385,000
5 Tofali (kuta za msingi) Tofali 690 1150 793,500
6 Saruji ( kuta za msingi) mifuko 10 13,000 130,000
7 Mchanga( kuta za msingi) lori 2 m3 20,000 20,000
8 Nondo – 12mm (ground beam) Chuma-12m 24 16,500 396,000
9 Nondo- 8mm (ground beam) Chuma-12m 21 11,000 231,000
10 Binding waya Kg 5 3,000 15,000
11 Saruji (Jamvi) Mifuko 49 13,000 637,000
12 Mchanga(Jamvi) Lori 4.5 m3 55,000 55,000
13 Kokoto(Jamvi) Lori 6 m3 465,000 465,000
14 Kuta za baada ya jamvi tofali 1640 1150 1,886,000
15 Saruji (kujengea tofali za kuta) mifuko 22 13,000 286,000
16 Mchanga(kujengea tofali za kuta) Lori 3.7 m3 55,000 55,000
17 Mbao kwa ajili ya kazi za jumuifu 800,000
zege(linta na ground beam)
18 Saruji (zege la linta) mifuko 14 13,000 182,000
19 Kokoto (zege la linta) Lori 1.7 m3 135,000 135,000
20 Mchanga(zege la linta) Lori 1.3 m3 15,000 15,000
21 Nondo -12mm (linta) Chuma-12m 24 16,500 396,000
22 Nondo- 8mm(linta) Chuma -12m 12 11,000 231,000
23 Bindig waya Kg 5 3,000 15,000
24 Misumari Kg 8 3,500 28,000
25 Mbao 4” x 2” m 300 2000 600,000
26 Mbao 6” x 2” m 170 3750 637,500
27 Mbao 2” x 2” m 100 1250 125,000
28 Bati(Corrugated 0.86m x 1m) pcs 295 11,600 3,422,000
29 Kofia za bati (2000mm x 0.5mm) pc 16 20,000 320,000
30 Fascia board (Mbao 10” x 2”) m 47 4,600 216,200
31 Gutter ya maji ya mvua(3000mm x m 16 10,700 171,200
407mm)
32 Misumari ya bati Kg 10 6,000 60,000
33 Saruji (Lipu nje na ndani ya mifuko 41 13,000 533,000
nyumba)
34 Mchanga ( Lipu ya nje na ndani ya lori 5m3 70,000 70,000
nyumba)
35 Saruji (Kuweka vigae ndani na mifuko 24 13,000 312,000
baraza)
36 Mchanga ( vigae ndani na barazani) lori 2 m3 20,000 20,000
37 Vigae ndani na barazani boxi 85 22,000 1,870,000
38 Ceiling ya gypsum ndani na pcs 45 16,500 742,500
barazani
39 Madirisha na grills pcs 12 450,000 5,400,000
40 Milango na fremu pc 4 390,000 1,560,000
41 Rangi ndani ya nyumba na ceiling ndoo 35 20,000 700,000
JUMLA 24,970,900
SEHEMU B: GHARAMA ZA UFUNDI
S/No. Jina la Shughuli Kiasi
1 Kusafisha kiwanja 110,000
2 Kuchimba msingi 450,000
3 Kumimina zege la msingi pamoja na blinding 1,500,00
4 Kuinua kuta za msingi 350,000
5 Kujaza kifusi 50,000
6 Kupanga mawe 330,000
7 Kusuka nondo za ground beam 300,000
8 Kufunga shuttering za msingi 300,000
9 Kumwaga zege la jamvi 1,500,000
10 Kujenga kuta toka jamvi mpaka usawa wa 1,200,000
madirisha
11 Kuandaa formwork za linta 400,000
12 Kumwaga zege la linta 350,000
13 Kupiga kenchi 1,200,000
14 Kupiga bati gauge 28 zenye rangi 1,500,000
15 Kuweka ceiling ya gypsum 900,000
16 Kuweka fremu za madirisha 300,000
17 Lipu ya ndani na nje 800,000
18 Sakafu ya vigae ndani na barazani 850,000
19 Milango ya nje na vitasa 600,000
20 Kupiga rangi ndani na gypsum 800,000
21 Kuweka madirisha ya vioo na grills 2,400,000
JUMLA 14,690,000

JUMLA KUU = 24,970,900 + 14,690,000 = TShs. 39,660,900

Das könnte Ihnen auch gefallen