Sie sind auf Seite 1von 2

1. Fill the steriliser with distilled water until it reaches the grid.

2. Place the packages in the chamber.

3. Close the lid and tighten the knobs.

4. Turn on with the silver switch.

5. Start the steriliser by pressing the black start button.

The green lamp will blink. The steriliser is heating up.

7. After 1 hour the steriliser switches off automatically.

The green lamp lights up permanently.

8. Open the outlet valve to let the steam out.

9. Switch off with the silver switch. Open the lid.

1. Jaza maji kwenye sterileser mpaka kuonekana kwenye kishimo
kilicho pembeni ya sterileser.

2. Weka vifaa kwenye chemba.

3. Funga mlango na hakikisha umekaza vifungio vya rangi ya blue.

4. Washa swichi ya silve.

5. Bonyeza batani ya rangi nyeusi.

6. Itanza kuwaka na sterileser itaanza kuchemsha.

7. Baada ya lisaa limoja sterileser itaajizima yenyewe taa ya kijani

itawaka kabisa.

8. Fungua valve ili mvuke uliopo kwenye chemba utoke.

9. Zima swichi ya silver nz fungua mfuniko wa chemba ili kutoa vifaa.